AHADI YA LAPTOP KWA KILA MWANAFUNZI Std. 1 KENYA! TZ inawezekana?

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Wakati Suprem Court ikimthibitisha Uhuru Kenyatta kuwa Rais halali wa Kenya, imebaki utekelezaji wa kuwapa LAPTOP watoto wa Darasa la 1 kila mwaka mpya wa masomo, ninajiuliza hivi na utajiri wa TZ hili haliwezekani? au ndo tumekalia kufikiria kununua "BAJAJ AMBULANCE"? ninaamini TZ haijapata Waziri makini wa Elimu maana pale naona wote lao moja si Kaa Wambwa au MU lugo wote wamekaa wizara sio bora wangepelekwa Mifugo & Uvuvi au Mazingira amabako unabwabwaja tu na mambo yanaenda si pale Wizara ya Elimu.
 
Unahamu na tz wagawe ili uchukue ya mtoto wako ufanye yako uoshee mtaani?
 
Hii project itafeli tu. Kuna mambo mengi sana ya kuangalia. Giving pupils technology so they can do what? what about sustainability of the all project? Who is going to make sure that those laptops are up and running when needed? Naona hii solution ni top down approach. na no wanasiasa wengi wanafikiria kwa mtindo huu. Giving people computers and expect them to use those computers ni approach mbaya. Unampa mtu computer atumie wakati technology haijawa contextualized kwa mazingira yake. Mimi sii support hii idea na nakuambia itafeli tu. Unless serikali iamue kutoa pesa continuously ku ensure sustainability yake na ni kitu ambacho hakiwezekani. Hizo laptop hao wanafunzi wana umeme wote nyumbani kwao?
 
never izo zilikua swaga tuu nchi tajiri dunian zimeshindwa ndo sembuse jiran!l
 
mmenifumbua macho. kiukweli, Kwa Rwanda wameweza maana Kagame alichukua Muda kuijenga kuanzia juu (Mawaziri, na viongozi wa Serikali) kuwa na uadilifu wa hali ya juu na yoyote mwenye kuleta upuuz ni jela tu. Kwa Kenya naona dhamira nzuri ya Uhuru Kenyatta na Ruto but watendaji wa Kenya wamejaa Rushwa na wengi wao ama watatumia hiyo deal kupata rushwa kwa kampuni zitakazogombea kupata hiyo tenda ya ku-supply laptop ama wanunue sub-standard/ laptop mitumba na hela nyingine waweke kibindoni ama watakuja kuziuza laptop zenyewe na wanafunzi wasizipate kabisaaaa. Kwa TZ duuuh hapa ndo pagumu zaidi maana kama tu hela za Power Tiller za Kilimo Kwanza tumezitafuna na hakuna aliyepelekwa mahakamani itakuwa hizi za Laptop ambazo zitapitia kwa Wizara ya Elimu a.k.a MULUGO MINISTRY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…