ahadi za mushimiwa 2011 dar itakuwa hivi

ahadi za mushimiwa 2011 dar itakuwa hivi

Kama ipo katika mpango kazi wa Serikali wa mwaka 2011 itatekelezwa hata kama Rais ni Dr. Slaa au Prof. Lipumba.
 
Ikiwa wanashindwa kuboresha mifereji ya maji taka, wataweza kwenye hili??!!!!
 
Ndoto! ikiwa wanaaidi kutoa chandarua badala ya kupanga mikakati ya kusafisha jiji na kuzibua mitaro inayotuama maji na kitoa harufu kila kukicha!
 
Over my Dead Body whoever think of flyover to a small country like TZ jamani tuna kwenda wapi huku wanafunzi bado wanakalia vumbi i mean sakafuni, ubao wenyewe unamatobo chaki ni za chida jamani we need future strategic plan for next generation sio tu kukurupuka basi nakuona ni vyema kuboresha hayo mabarabara yenu huku maji tu still twaya fuata zaidi ya Kilometre 50
 
Back
Top Bottom