Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Habari wakuu
Mimi binafsi nimekuwa nikipenda namna mh Rais anaongoza nchi yetu, ana maneno ya busara ,hekima na matumaini ,ana huruma mpaka akitoa ahadi huoni namna ya kumpinga wala kuwa na wasiwasi nae kabisa .
Kama mnavyojua kina mama zetu nyumbani wakiwa wanatoka nyumbani, akiahidi mtoto kuwa nikirudi nitakuleta pipi ,huwa hakoseagi anatekeleza ahadi yake kwa namna yeyote ile ,hii roho wanayo mama zetu wa Tanzania ,tofauti kabisa na sisi wanaume ..
Napenda tu kumtoa wasiwasi Mbowe kuwa,mama yetu ana kauli ya kutekeleza ,anaonekana sio mtu wa kutoa ahadi hewa ,uzuri mama yetu kakulia mazingira ya dini na imani ,ana hofu ya Mungu kweli kweli ,..!
Mimi ahadi zake huwa napigia tiki ,ni suala la muda.
Mbowe tulia ,hii nchi inaenda muelekeo sahihi kabisa ,inaongozwa na mtu mnyenyekevu ,anayejua dhambi ya kusema UONGO.