Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kwa hiyo nini yatakuwa maono ya mbunge kwa miaka 5 ijayoMgombea ubunge hapaswi kutoa ahadi yoyote kwa wananchi. Kwasbb mbunge hana fungu la fedha analotengewa na bunge (vote). Hivyo ni ulaghai kwa mgombea ubunge kuahidi kuwa atajenga barabara, daraja, ama kuleta maji ktk Jimbo
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi, yeye ni mpokeaji wa malalamko na maoni ya wananchi na kuyawasilisha serikalini ama kuyasemea bungeni. Mbunge hapaswi kubeba mawazo ama maono yake binafi, kwani kufanya hivyo itakuwa ni kujimwambafai na kukiuka misingi ya uwakilishiKwa hiyo nini yatakuwa maono ya mbunge kwa miaka 5 ijayo
Kwa hiyo waliwakilisha maoni au matarajio ya wananchi pamoja na RaisiMbunge ni mwakilishi wa wananchi, yeye ni mpokeaji wa malalamko na maoni ya wananchi na kuyawakilisha serikalini ama kuyasemea bungeni. Mbunge hapaswi kubeba mawazo ama maono yake binafi, kwani kufanya hivyo itakuwa ni kujimwambafai na kukiuka misingi ya uwakilishi