Ahadi!

Kumbe ndicho unachonipendea??Ngoja nimtafute wakunipenda bila sababu!
Aiii wewe yaani utakayempata lazima nimuwekee kauzibe kwasababu siamini kama he will take gud care of you
 
hehehe hii post akiiona maxshimba utakoma?, na jamaa laptop yake imeibiwa nini ? naona haonekani?. Dah turudi kwenye mada bana kabla waifu wangu Lizzy hajakasirika halaf akaninyima unyumba na holidei hii.

Alah!Ngoja nikanawe uso kwanza!
 
...he he! mashaka huanzia hapo, pekundu penye wekundu na kusisitizwa kwa kupigiwa msitari!
Ni ya kweli hayo toka moyoni, au being me means; What You
Want Me To Be! (?)
 
Ahadi ni deni, mie huwa nawakumbusha mara kwa mara. kama msg akinikosea tu namforwadia zote, kama ni email naiprint anaikuta kitandani anakuwa mdogoooo

Hehehe safi kabisa!Mi kuna mtu hata tukiongea kwenye simu hua ananiambia nirecord maongezi kabisa ili ajifunge kwa anayosema!Ngoja leo nimkumbushe kitu...
 
Reactions: Mbu
Hivi watu wanapoahidiana kupendana milele hua wajisikia hivyo ndani ya nafsi zao au hua wanasema kuridhishana tu??Binafsi sijawahi kwasababu hua napenda kutimiza ahadi zangu!

Hahaaa mapenzi yana vimbwanga usipime. Hujawahi kusikia mpenzi akimwambia mwenzie kuwa hajawahi kupenda kama anavyompenda huyo mwenzie?
 
Hehehe safi kabisa!Mi kuna mtu hata tukiongea kwenye simu hua ananiambia nirecord maongezi kabisa ili ajifunge kwa anayosema!Ngoja leo nimkumbushe kitu...

aha ha hahhaaa! huyu na yule aliyekuwa anamtongoza dada'ke MwanajamiiOne hawana tofauti! LOL!!!
 
...he he! mashaka huanzia hapo, pekundu penye wekundu na kusisitizwa kwa kupigiwa msitari!
Ni ya kweli hayo toka moyoni, au being me means; What You Want Me To Be! (?)

Hehehd mashaka unayetengeneza wewe Mbu!Kama tangu mwanzo ulikua wewe hakutakua na tatizo...ila kama ulidanganya ndo kazi itakuwepo!
 
Reactions: Mbu
Hahaaa mapenzi yana vimbwanga usipime. Hujawahi kusikia mpenzi akimwambia mwenzie kuwa hajawahi kupenda kama anavyompenda huyo mwenzie?
Yani huo ndo uongo ambao msemaji na mwambiwaji wote wanajua ni uongo na bado wanaukubali.
 
aha ha hahhaaa! huyu na yule aliyekuwa anamtongoza dada'ke MwanajamiiOne hawana tofauti! LOL!!!
Hahahaha.,jamani wanafananaje hawa watu Mbu??
 
Dearest nlikua nakufikiria sasa hivi!
Kwanza nakutakia pasaka njema,unanifikiria halafu unamwambia nini dawa iliopigwa marufuku ? halafu juzi tuliongea nini ? kuna wimbo wa Mkenya Bob Mapesa 'tuko mbele au tuko nyuma' ? sasa dearest kila nikidhani tuko mbele kumbe bado tuko nyuma.
 
90% huwa hawatimizi ahadi, baadae uje umulize vipi ahadi yangu hapo story zitakuwa nyingi mwishoe unaishia kusinzia na kusahau kabisa. DONT MAKE PROMISES U CANT KEEP.
 
Kwanza nakutakia pasaka njema,unanifikiria halafu unamwambia nini dawa iliopigwa marufuku ? halafu juzi tuliongea nini ? kuna wimbo wa Mkenya Bob Mapesa 'tuko mbele au tuko nyuma' ? sasa dearest kila nikidhani tuko mbele kumbe bado tuko nyuma.

Dearest haya achana nayo!Yetu tunamilizia chumbani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…