Ahadi!

mna tofauti?:whoo:
khaaaa! mimi unaendelea kuwasibitishia JF utakatifu wangu tu. Mimi na uzinifu hata spelling zake nakosea nikiandika, ni memba pekee ambae nimekaa JF miaka 2 na sina rekodi ya kuPM, invizibo atasibitisha hili.
 
Hongera sana Kloro....tatizo hutimizi ahadi...u mjanja na mwema sana hapo kwa keyboard ila kwenye suala la kutimiza ahadi na baddhi ya majukumu....sijui niseme...sithemi mimi:whoo:
 
Unajihami sana mwenye evidence huwa anatulia then anasubiri aitwe tu na hakimu anaanza kumwaga mavitu mpaka mleta kesi anaonekana yeye ndie mkosaji
 
@ Gaga mnachoweka kanisani ni agreement, a mere contract kati ta wapendanao ambayo inaweza vunjika at any time 't'.

But if you wanna take it as an ahadi, you can do it at your own risk/cost.
 
heheh hapo red ukiona kesho ukilog in JF, server haikubali ujue ufalme wa mbinguni umekasirika na komenti yako.
 
Unajihami sana mwenye evidence huwa anatulia then anasubiri aitwe tu na hakimu anaanza kumwaga mavitu mpaka mleta kesi anaonekana yeye ndie mkosaji
hehehe Michelle asikusumbue bana ,leo sijampatia hela ya vocha basi kaja na miujiza kuliko ya moses.
 
@ Gaga mnachoweka kanisani ni agreement, a mere contract kati ta wapendanao ambayo inaweza vunjika at any time 't'.

But if you wanna take it as an ahadi, you can do it at your own risk/cost.
Poa mamii understood
 
naomba ukasirike basi...manake sina hata senti kwenye benki ya bongo...account zote ni za Uswisi....l.o.l:rant:
halaf umeimprove kweli siku hizi, yaani unaandika neno account hata spelling hukosei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…