Ahadi!

Hongera sana Kloro....tatizo hutimizi ahadi...u mjanja na mwema sana hapo kwa keyboard ila kwenye suala la kutimiza ahadi na baddhi ya majukumu....sijui niseme...sithemi mimi:whoo:

Aiseeeeeee!
Kumbe hii dawa nayo ni mapengo matupu?
 

Nimekusoma paka mchafu...
 
mwambie jamaa yako arejeshe raba yangu bana, si tayari keshakutoa out, sasa huu mpango wa kuazima raba siku moja halaf anakaa nayo mwezi sio mzuri bana.
Embu tulia..umemuona dearest wangu hapo ndo unajifanya unajua sana kuongea!
 
Ahadi hizi za siku hizi zimepoteza mwelekeo kabisa, wanaume waongo sana
 
mwambie jamaa yako arejeshe raba yangu bana, si tayari keshakutoa out, sasa huu mpango wa kuazima raba siku moja halaf anakaa nayo mwezi sio mzuri bana.



Raba zako hizo hapo, bado mpyaaaaaaaaaaaa
Tusidaiane
 
Heheheh
Yaan umejitanguliza rum kabla ya unaemuiba?
Halafu unamtumia vimeseji eti aje rum ya London ktk Gesti ya hapo kwenu tandika mabatin???!!!

Utajuaje kama simu yake ninayo???
La la la la . . .
Dogo kweli huna heshima Lizzy sio mwanamke wa kupelekwa guest house,halafu inaonesha we ni mtaalamu wakutembelea sehemu hizi lol!
 
Reactions: CPU
yaani of all the men...usiwe na hofu na Uporoto....hata wakilala siku tatu hakuna lolote....namfahamu sana!
Pasaka njema Michelle mi huwa sina tatizo na comments zako kwakuwa Liz anafahamu ugomvi wetu nawe ulianzia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…