Watu wajinga hawajui historia yao.Polisi anataka kumuuliza maswali kadhaa ili kujua uwezo wake.
Polisi: Ni nini 2+2?
Ahmad: Ummm... 4
Polisi: Nitajie square root ya 100?
Ahmad: Ni 10
Polisi: Sawa umepatia yote, sasa, nani alimuua Kinjekitile?
Ahmad: Kwa kweli sijui.
Polisi: Vizuri, sasa unaweza kwenda nyumbani na kufikiria kisha urudi kesho.
Ahmad anaenda nyumbani na kumpigia simu rafiki yake, ambaye anamuuliza kama amepata kazi.
Ahmad anasema kwa shauku sana, "Sio tu kwamba nimepata kazi, lakini tayari nimepewa kesi ya mauaji ni shughulike nayo."
Mwisho[emoji41]
LAbda wanajiuliza, wanaojua hiyo historia, imewasaidia nini? Kwamfano, wewe kujua habar kuhusu chief mkwawa inakupa gaida gani kubwa mkuu?Watu wajinga hawajui historia yao.
Maisha ya Chief Mkwawa yana funzo kubwa la hadaa, la kujua kikulacho ki nguoni mwako. Kwamba kama military strategist Chief Mkwawa aliweza kupigana vizuri na majeshi ya kigeni yenye silaha nzuri zaidi, lakini alikuja kusalitiwa na watu wake wa karibu.LAbda wanajiuliza, wanaojua hiyo historia, imewasaidia nini? Kwamfano, wewe kujua habar kuhusu chief mkwawa inakupa gaida gani kubwa mkuu?
Ahsante sana.Maisha ya Chief Mkwawa yana funzo kubwa la hadaa, la kujua kikulacho ki nguoni mwako. Kwamba kama military strategist Chief Mkwawa aliweza kupigana vizuri na majeshi ya kigeni yenye silaha nzuri zaidi, lakini alikuja kusalitiwa na watu wake wa karibu.
Zaidi, elimu ina manufaa kama elimu tu. Kujua ni kuzuri kuliko kutojua.
Na mara nyingi, tunaanza kujua kwanza, bila kujua kama kule kujua kutatusaidia vipi, baadaye, ndipo tunaweza kujua kujua kule kutatusaidia vipi practocally.
Kwa maneno mengine, elimu ili iwe na manufaa practical, si lazima ianze kueleweka kuwa elimu hii itanisaidia practically kwenye jambo hili. Mara nyingi kuna elimu nyingi ambazo huanza kama theoretical knowledge zisizo na oractical implementation, lakini baadaye zimeenda.kuwa na practical implementation.
Nitakupa mfano mmoja.
Albert Einstein alikuwa theoretical physicist maarufu sana. Alivyoanza kufanya theories zake za Relativity, zilionekana kama ni mahesabu tu ambayo hayana practical application yoyote.
Yani ungekuwepo wakati Einstein anaanza kazi zake za Relativity, ungeweza kumuuliza hilo swali lako la "Haya mahesabu magumu unayofanya yatatusaidia nini practically, mbona kama unapoteza muda tu?" Halafu kwa dunia ya muda huo, kweli Einstein angekosa jibu, angeonekana kama kweli anapoteza muda tu.
Lakini, mahesabu ya Einstein ndiyo leo yanatuwezesha kurusha satellite angani na kuwa na accurate GPS system zinazosaidia mambo mengi sana kuanza kusoma ramani mpaka magari yanayojiendesha yenyewe leo.
Kwa hivyo, unaweza kuona elimu fulani haina maana practically, lakini hujui application yake tu.
Knowledge ya maisha ya Mkwawa kwa mtu aliyejipanga hata akitengeneza movie nzuri tu anaweza kufanya kitu kikubwa, ni basi umasikini wa mali na akili unaachiwa kutawala tu.
Maisha ya Chief Mkwawa yana funzo kubwa la hadaa, la kujua kikulacho ki nguoni mwako. Kwamba kama military strategist Chief Mkwawa aliweza kupigana vizuri na majeshi ya kigeni yenye silaha nzuri zaidi, lakini alikuja kusalitiwa na watu wake wa karibu.
Zaidi, elimu ina manufaa kama elimu tu. Kujua ni kuzuri kuliko kutojua.
Na mara nyingi, tunaanza kujua kwanza, bila kujua kama kule kujua kutatusaidia vipi, baadaye, ndipo tunaweza kujua kujua kule kutatusaidia vipi practocally.
Kwa maneno mengine, elimu ili iwe na manufaa practical, si lazima ianze kueleweka kuwa elimu hii itanisaidia practically kwenye jambo hili. Mara nyingi kuna elimu nyingi ambazo huanza kama theoretical knowledge zisizo na oractical implementation, lakini baadaye zimeenda.kuwa na practical implementation.
Nitakupa mfano mmoja.
Albert Einstein alikuwa theoretical physicist maarufu sana. Alivyoanza kufanya theories zake za Relativity, zilionekana kama ni mahesabu tu ambayo hayana practical application yoyote.
Yani ungekuwepo wakati Einstein anaanza kazi zake za Relativity, ungeweza kumuuliza hilo swali lako la "Haya mahesabu magumu unayofanya yatatusaidia nini practically, mbona kama unapoteza muda tu?" Halafu kwa dunia ya muda huo, kweli Einstein angekosa jibu, angeonekana kama kweli anapoteza muda tu.
Lakini, mahesabu ya Einstein ndiyo leo yanatuwezesha kurusha satellite angani na kuwa na accurate GPS system zinazosaidia mambo mengi sana kuanza kusoma ramani mpaka magari yanayojiendesha yenyewe leo.
Kwa hivyo, unaweza kuona elimu fulani haina maana practically, lakini hujui application yake tu.
Knowledge ya maisha ya Mkwawa kwa mtu aliyejipanga hata akitengeneza movie nzuri tu anaweza kufanya kitu kikubwa, ni basi umasikini wa mali na akili unaachiwa kutawala tu.
Asante mkuu.Huwa natafuta namna nzuri ya kuwajibu watu wanaoidharau HISTORIA ila kwa maelezo yako mkuu umemaliza kila kitu!!