Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Habari zenu wadau wa michezo.
Kwa ukweli nimeghadhibika na kauli ya afisa habari wa timu yangu ya SIMBA sc kwa kupost katika mtandao wa Instagram juu ya hii kadhia iliyotokea jana na anaonekana kuchukulia poa tu suala hili bil ya kujali gharama ambazo mashabiki tumezitumia kusafiri kuja Dar. Kulikuwa na sababu gani yenye mashiko iliyopelekea siai tukatae kupeleka timu uwanjani hapo jana?
Halafu unatutangazia tena tulipie viingilio vya sh 10000 na 20000 kwenda kushuhudia mechi ya konbe la CRDB dhidi ya TMA.
Hivi mmetuona sisi mashabiki ni watu wa kupoteza pesa ovyo?