Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
For sure"...tuelewe kuwa maamuzi yaliyofanywa na viongozi wetu ni kwa maslahi ya klabu yetu..."
Alitaka apige vigeregere Pengine!Kwahiyo ulitakaje sasa?
KhaaaaaMliosafiri Kutoka Mikoani kuja kuangalia dabi ya K/koo tukutane Magufuri Terminal kuna usafiri wa kwenda Dodoma kwenye ile Hospitali yetu pendwa.
Kipaumbele ni kwamba wale wote waliodunduliza vihela ili kufanikisha safari ya kuja Dar mtapatiwa vitanda mapemA na hamtofungwa kamba.
Kila aliyesikia Tangazo hili Hamtaarifu na mwenzie.