Ahmed Ally alamba hundi kwa utendaji uliotukuka Simba Sc

Ahmed Ally alamba hundi kwa utendaji uliotukuka Simba Sc

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20220506-123749_Chrome.jpg

Mzee wa kipaza cha sumu ya panya,mende hongera sana
 
Huyu ndiye aliyetuahidi tusubiri kuwaona wapinzani wa Simba hatua ya nusu fainali. Wale wapinzani bado wanakuja au gari yao imeharibika njiani?
 
Anastahili kwakweli,amewapambania sana Mikia kuhamasisha mtaa Kwa mtaa.......ile mbinu ni nzuri kuonana uso Kwa uso na mashabiki wenu.....huku wengine akipiga nao Picha.......Makolo Ahmed anakitu mpeni nafasi
 
Anastahiki... Kautoa mpira Ofisini na kuupeleka mitaani kila shabiki na Mwanachama anahisi Simba SC ni Timu yake..!
 
Anastahili kwakweli,amewapambania sana Mikia kuhamasisha mtaa Kwa mtaa.......ile mbinu ni nzuri kuonana uso Kwa uso na mashabiki wenu.....huku wengine akipiga nao Picha.......Makolo Ahmed anakitu mpeni nafasi
Yule wenu anaweza kuingia mtaani?
 
Baadhi ya watu hudhani ni irreplaceable , so far ssc tujipongeze sana kwa kuondokana na yule mbwatukaji aliyedhani yeye ndio kaifikisha ssc hapa ilipo na bila yeye simba haiwezi kusonga mbele,Ahmedy is very professional na hata siku akiteleza kidogo atafahamu na kurekebisha sio kama yule mwehu asiyejua kuwa kakosea ambaye aliipa club kazi ya kwenda kukanusha kauli zake alizoropoka kwa mgongo wa ssc.
Go Ahmedy go ..,na kama ilivyokawaida hata katika hili la kitengo cha habari ndani ya club, vilabu vingine vyoote vitajifunza kupitia sisi.
 
Hizo hela zingesaidia usajili badala ya kutembeza bakuli kama inavyofanyika
 
Nikajua 20m kumbe 2?? Hizo manara anapata kwa tangazo Moja😀🚶🚶
 
Jamaa msanii "nao watapata mgao ila kidogo sanaa"
 
Back
Top Bottom