Baadhi ya watu hudhani ni irreplaceable , so far ssc tujipongeze sana kwa kuondokana na yule mbwatukaji aliyedhani yeye ndio kaifikisha ssc hapa ilipo na bila yeye simba haiwezi kusonga mbele,Ahmedy is very professional na hata siku akiteleza kidogo atafahamu na kurekebisha sio kama yule mwehu asiyejua kuwa kakosea ambaye aliipa club kazi ya kwenda kukanusha kauli zake alizoropoka kwa mgongo wa ssc.
Go Ahmedy go ..,na kama ilivyokawaida hata katika hili la kitengo cha habari ndani ya club, vilabu vingine vyoote vitajifunza kupitia sisi.