Ahmed Ally: Atakula pilau na kuku Ili kusherehekea derby ya jana

Ahmed Ally: Atakula pilau na kuku Ili kusherehekea derby ya jana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ahmed Ally kasema atasherehekea kufungwa goli Moja na Yanga Kwani Makolo wengi hawakuamini na walizani watapigwa goli heavyweight.

Je unadhani Ahmed Ally yupo sahihi???
Screenshot_20240809-124647.jpg
 
Ukimuangalia mara mbili mbili Ahmedi Ally ni kama hana uchungu na Simba!
Hivi utotoni hakuwa Yanga huyu?
 
Back
Top Bottom