Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hivi kweli club ya hadhi na kubwa kama Simba ndio yakutumia meza za Bar kwa ajili ya kupokea wageni wakubwa na kufanya vikao? Ahmed Ally sisi Wanasimba tunakuomba uitishe Harambee tuondokane na hii aibu.