Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mmeanza kumwa uchungu mapema subirini jumapili mtajifunguaHivi kweli club ya hadhi na kubwa kama Simba ndio yakutumia meza za Bar kwa ajili ya kupokea wageni wakubwa na kufanya vikao? Ahmed Ally sisi Wanasimba tunakuomba uitishe Harambee tuondokane na hii aibu.
View attachment 2799621
Mmeanza kumwa uchungu mapema subirini jumapili mtajifungua
Huna macho?Zina label ya bar wapi
Hata kitendo cha kula chips mayai kwenye sahani ya mfupa ni kuidhalilisha clubHivi kweli club ya hadhi na kubwa kama Simba ndio yakutumia meza za Bar kwa ajili ya kupokea wageni wakubwa na kufanya vikao? Ahmed Ally sisi Wanasimba tunakuomba uitishe Harambee tuondokane na hii aibu.