25 ๐ฆatakula kipigo cha mbwakoko
Mbona hasira ..Simba na yanga zitakupa mshtuko wa moyoHuyu Ahmed ni kiazi tu kama viazi wengine. Hizi mind games za kitoto
Kuna shida Gani kwenye huo ujumbe..kichwa chako kina pamba huwez kufikiriWameanza kuchanganyikiwa
๐๐ฎTakupiga pum-bu endelea
Takupiga mashi-ne as quick as possible๐๐ฎ
Mbona ameandika mambo rahisi mipango ambayo iko duniani kote timu zinapomaliza msimu mechi ya mwisho uwanja wa nyumbani inakuwa na hayo ya kumaliza msimu na kuzungumza machache. Kwa Mkapa ni uwanja wa nyumbani wa Yanga hawatakuwa na nafasi ya kutoa shukrani kwa mashabiki. Pale ni kufanikisha kuchukua ubingwa na sherehe za ubingwa. Na wasipochukua ubingwa watakuwa wamemalizana na mashabiki wao watasubiri msimu unaofuataAfisa habari na mawasilino wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba wanasimba kufika katika uwanja wa KMC kuaagana.
"Jumapili tukutane KMC tukaagane,tumekua na Msimu mzuri sana"
Ikumbukwe kuwa Klabu ya Simba Bado haijathibitisha kucheza mchezo wa tarehe 25 June dhidi ya Yanga,
View attachment 3377091
๐Afisa habari na mawasilino wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba wanasimba kufika katika uwanja wa KMC kuaagana.
"Jumapili tukutane KMC tukaagane,tumekua na Msimu mzuri sana"
Ikumbukwe kuwa Klabu ya Simba Bado haijathibitisha kucheza mchezo wa tarehe 25 June dhidi ya Yanga,
View attachment 3377091