Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Fanya hivo tuko nyuma yakoAubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaan amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo na Micquisone niende nao mahali ambako napajua mimi, baada ya masaa mawili nitawarudisha wachezaji hawa na hutasikia wameshuka tena viwango wala kuumia, kesho ntakufuata asbh wakati wa mazoezi ya Simba.Kama mbwai iwe mbwai.
Wapemba nyie watoto wa kiislam acheni shirki.Aubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaan amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo na Micquisone niende nao mahali ambako napajua mimi, baada ya masaa mawili nitawarudisha wachezaji hawa na hutasikia wameshuka tena viwango wala kuumia, kesho ntakufuata asbh wakati wa mazoezi ya Simba.Kama mbwai iwe mbwai.
Hapo umenena aseAubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaani amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo na Micquisone niende nao mahali ambako napajua mimi, baada ya masaa mawili nitawarudisha wachezaji hawa na hutasikia wameshuka tena viwango wala kuumia, kesho ntakufuata asbh wakati wa mazoezi ya Simba.
Kama mbwai iwe mbwai.
Wamesha check na mganga wa Hussein Tshabalala umewahi sikia lini kaumia?Aubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaani amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo na Micquisone niende nao mahali ambako napajua mimi, baada ya masaa mawili nitawarudisha wachezaji hawa na hutasikia wameshuka tena viwango wala kuumia, kesho ntakufuata asbh wakati wa mazoezi ya Simba.
Kama mbwai iwe mbwai.