Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
MAZUNGUMZO GROUP LA WATSUP LA CHAMPIONS LEAGUESemaji Mamelod : Mnyamaaa ðŸ˜ðŸ˜
Semaji Al Ahly : Pacha naumia sana kwa ajili yako
Semaji Mazembe : Jirani tutakumic sana Champions League
Mimi Mashine : Msijali wanangu narejea punde
Semaji Raja : Ni Mapito tuu hayo Lunyasi mimi miaka miwili sijashiriki michuano ya CAF ndio nimerejea msimu huu
Semaji Mazembe : Ila Familia usihuzunike tumia Shirikisho kujipanga kama nilivyofanya mimi
Semaji Zamalek : Ni kweli, fanya kama mimi nimeshuka Shirikisho nimechukua Kombe sasa najipanga kurudi Champions League
Semaji Mashine : Asanteni sana wana kwa kunitia moyo
Semaji Mamelod : Sema hakuna kitu natamani kama kucheza na wewe Champions League
Wydad, Raja na Ahly: (Wakajibu) Aaah utapenda Kaka kwanza Dar yote inakua nyekundu mji unachangamka na watu wanalipa kiingilio
Semaji Mamelod : Juzi nimeenda Dar mechi ikawa bure kama unaingia msikitini
Semaji Al Ahly : Aaah wale wana force umaarufu
Semaji Mashine : Sasa jamani mimi. Naletf group nampa Admin namba awa add wale wengine
Semaji Al Ahly : Achana nao humu hawaingii Watoto watoto
Semaji Esparance : (Kwa hasira) Usiwalete humuu wakija mie naleft
Semaji Mazembe : Kwanza uta muad nani utamuacha nani timu zina maafisa habari kumi kumii
Semaji Raja : Kwa ufupi hatuwataki
Semaji Petro : Mbona msg nyingi ??
Semaji Mamelod : Tunaongea na mwanetu Mnyama
Semaji Petro: Mnyama Shirikisho lisikunyime usingizi komaa msimu wako mmoja fanya maajabu rudi zako juu tuendelee kupasuana
Semaji Mazembe : Mie mwenyewe nimemwambia hivyo hivyoo, tena mie nilikua unga kinomaa nikafungwa hadi na wakuja
Semaji Zamalek : Ila Shirikisho kuwa makini kuna watu wanajionaga hayo ni mashindano ya Baba yao
Semaji Esparance : Hakuna timu ya kumtisha Mnyama hukoo
Semaji Al Ahly : Wewe Zamelek hujacheza na Mnyama siku nyingi ndio maana unamchukulia poaa
Semaji Al Ahly : Kwa iyo wazee tunakubaliana vipi hao wageni tuwa add au???
Wote : (Kwa hasira) Achana nao hatutaki ushambenga humu yaani sisi tukae kundi moja na watu wana Champions League moja