1. Hawajui kwa nini yanga wana pesa ya usajili na Simba hawana.Hapa majibu yanahitajika
2. Matangazo yaliyojaa kwenye jezi tena maandishi makubwa ya hovyo kutangaza bidhaa za mo ,yanalipiwa bei gani?
3. Wachezaji Okra,Mose Phiri wana tatizo gani kwa nini hawachezi?
4. Je kuna kamati ya usajili makini kweli au ni meshen town?
5. Mo anaonekana ni mlalamishi sana huku sisi tuna uhakika alitoa maelekezo wakatae pesa ya Azam ambayo yanga waliikubali. Kama anakula hasara, si wangekubali udhini wa Azam?
======
Pia soma: Maisha yanaenda kasi, kweli timu ya Simba ni yakuzomewa kutoka Mtwara hadi Dar?