Usichanganye Azam Media na Azam FC mkuu.(i) Nani kakwambia mashabiki wa Simba wanalalamika?
(ii) Simba haina mchezaji anayeitwa Patrick Phiri,
(iii) Hela za Azam za kazi gani? Mbona hao Azam wenyewe pamoja na izo hela zao wameshindwa kuchukua kombe la ligi au ASFC miaka nenda rudi?
Wewe una mchango gani Kwa Simba? Usikute ni wewe ni wale wanaoitwa kajampa nani hamna mchango wowote kwa klabu ya Simba zaidi ya lopolopo mitandaoni.
Huu Uzi wako unafaa ukachambiwe mavi choo[emoji706][emoji706][emoji706]
wacha jeuri,mmekwama mnahitaji msaada...ujeuri wakati una shida ni upumbav(i) Nani kakwambia mashabiki wa Simba wanalalamika?
(ii) Simba haina mchezaji anayeitwa Patrick Phiri,
(iii) Hela za Azam za kazi gani? Mbona hao Azam wenyewe pamoja na izo hela zao wameshindwa kuchukua kombe la ligi au ASFC miaka nenda rudi?
Wewe una mchango gani Kwa Simba? Usikute ni wewe ni wale wanaoitwa kajampa nani hamna mchango wowote kwa klabu ya Simba zaidi ya lopolopo mitandaoni.
Huu Uzi wako unafaa ukachambiwe mavi choo[emoji706][emoji706][emoji706]
Kuhusu usajili Mo alishatolea ufafanuzi kuwa alitoa fedha Ila zikatumika isivyo , mbona mnazid kumlaumu1. Hawajui kwa nini yanga wana pesa ya usajili na Simba hawana.Hapa majibu yanahitajika
2. Matangazo yaliyojaa kwenye jezi tena maandishi makubwa ya hovyo kutangaza bidhaa za mo ,yanalipiwa bei gani?
3. Wachezaji Okra,Patrick Phiri wana tatizo gani kwa nini hawachezi?
4. Je kuna kamati ya usajili makini kweli au ni meshen town?
5. Mo anaonekana ni mlalamishi sana huku sisi tuna uhakika alitoa maelekezo wakatae pesa ya Azam ambayo yanga waliikubali. Kama anakula hasara, si wangekubali udhini wa Azam?
======
Pia soma: Maisha yanaenda kasi, kweli timu ya Simba ni yakuzomewa kutoka Mtwara hadi Dar?
Mkuu tumekwama wapi? We unamjua moo ni tajiri no ngap hapa afirika[emoji23][emoji23][emoji23]wacha jeuri,mmekwama mnahitaji msaada...ujeuri wakati una shida ni upumbav
Acha ujinga akili kuwaza mavi tu kila wakati.Naamini wewe ulipo hapo ni mke wa mtu hivyo jiheshimu.(i) Nani kakwambia mashabiki wa Simba wanalalamika?
(ii) Simba haina mchezaji anayeitwa Patrick Phiri,
(iii) Hela za Azam za kazi gani? Mbona hao Azam wenyewe pamoja na izo hela zao wameshindwa kuchukua kombe la ligi au ASFC miaka nenda rudi?
Wewe una mchango gani Kwa Simba? Usikute ni wewe ni wale wanaoitwa kajampa nani hamna mchango wowote kwa klabu ya Simba zaidi ya lopolopo mitandaoni.
Huu Uzi wako unafaa ukachambiwe mavi choo[emoji706][emoji706][emoji706]
Unadhani Bakhresa anazipenda sana timu nyingine zifanikiwe kuliko Azam FC?Usichanganye Azam Media na Azam FC mkuu.
Punguza kasiriko
[emoji706][emoji706]Acha ujinga akili kuwaza mavi tu kila wakati.Naamini wewe ulipo hapo ni mke wa mtu hivyo jiheshimu.
Utakuwa mpuuzi tu kuukataa ukweli ulioshuhudiwa na msemaji wa Simba kwamba wamezomewa njia nzima kutoka Mtwara.
Kuhusu jina la Patrick ni sababu ya haraka ya kuandika na ungeni shangaa kama ningeandika ngombale jina ambalo sijawahi kulisikia kwenye soka.
Mambo mengine sitakujibu maana hata hizo akili za kuelewa huna
Haya wenye simba yao wamekuja(i) Nani kakwambia mashabiki wa Simba wanalalamika?
(ii) Simba haina mchezaji anayeitwa Patrick Phiri,
(iii) Hela za Azam za kazi gani? Mbona hao Azam wenyewe pamoja na izo hela zao wameshindwa kuchukua kombe la ligi au ASFC miaka nenda rudi?
Wewe una mchango gani Kwa Simba? Usikute ni wewe ni wale wanaoitwa kajampa nani hamna mchango wowote kwa klabu ya Simba zaidi ya lopolopo mitandaoni.
Huu Uzi wako unafaa ukachambiwe mavi choo[emoji706][emoji706][emoji706]
TATIZO SIO KUWA UTAJIRI TATIZO KUTOA HELA...HUYO TAJIRI NDO WA KULALAMIKA HASARA KILA MACHWEO...TAJIRI AU USHUBWADAMkuu tumekwama wapi? We unamjua moo ni tajiri no ngap hapa afirika[emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa azam kawala nyama ya nyuma na kipapatio[emoji28](i) Nani kakwambia mashabiki wa Simba wanalalamika?