Ahmed Ally: Mwanasimba fanya unachoweza upate usingizi ulale

Kwa ninavyowafahamu hawa Mbumbumbu. Hapo ujue walikuwa wanasubiri sana kauli ya hii ropokaji wao. Hivyo kwa kauli hiyo tayari imewapooza kweli watalala. Lakini angewaamlishe lalaleni kwa kusimama,bado wangemsikiliza. Manara alipelekesha sana hawa. Kuna muda walikuwa wanazungusha cd za ushahidi na manara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…