Ahmed Ally; nitaingia na ungo uwanjani

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally ametanabaisha kwamba siku ya Simba (Simba Day) Jumamosi Agosti 8, 2026 ataingia Uwanjani kwa namna ya tofauti ambapo ataingia kwa kupaa na ungo.

Your browser is not able to display this video.
 
Namshauri Ally Kamwe apeleke vyoo uwanjani siku hiyo ya giza

Hawa Kunya Kunya FC hawaaminiki, wanaweza wakanya uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…