Ahmed Ally: Shabiki wa 5imba mwenye moyo mgumu ndio aje uwanjani kwenye derby

Ahmed Ally: Shabiki wa 5imba mwenye moyo mgumu ndio aje uwanjani kwenye derby

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
“Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally.

Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.
 
Tumia fursa hii upige hela kwa khanjbay, bet Yanga atashida na utapiga hela sio ya kitoto, na utaachana na umaskini umaskini unaokusumbua .

Baada ya kupiga hela hutamnukuu tena mzee wa kispika 😂😂
 
Endapo Pacome atakuwepo uwanjani, akacheza mpira kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga, Simba hatokoswa chini ya goli 3.
 
Naona kuna kitu unakitafuta wewe punga zeze.
Mtu una uhakika wa kushinda game ya derby (kwa mujibu wako), halafu mtu anakushauri uweke stake kubwa upande wa Yanga halafu unamtukana aliyekushauri!

Hii inamaanisha nini? Moyoni mwako umeshaona huna guarantee ya kushinda game hiyo 100%. Na kama huna huo uhakika usiendelee kusumbua watu jukwaani hapa.
 
Mwenyeji wa Mechi ni Yanga, Ahmed anachofanya ni kupunguza mvuto na mashabiki ili UTO wakose vyote.
 
Msemaji wa makolo akiwaambia makolo
F-5WZ8xXgAE8oI6.jpeg.jpg
 
utampa heart attack ataliwa hela na atafungwa! we mshawishi kitakachomkuta hehe!
Mkuu hii mechi amphibians wanatoboa Ila cha ajabu fans wanasita kutumia fursa yao ya kupiga hela za khanjbay.

Fursa huwa haziji mara mbili mpeni chake khanjbay naye atawalipa mara 10, kisha mtaimba "umaskini bye bye"
 
Mashabiki wa simba wanajipa moyo wa kupata matokeo, eti kwa kisingizio dhaifu cha derby!! Kirahisi tu mbele ya wapenda sifa kama Aziz Kii!! 😁
 
Vyura huu ndo wakati wa kubetia mpaka mali za wakwe. Nafasi kama hizi zinatokea misimu michache.
 
“Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally.

Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.
Yatapita,yana mwisho
 
Back
Top Bottom