Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Tumia fursa hii upige hela kwa khanjbay, bet Yanga atashida na utapiga hela sio ya kitoto, na utaachana na umaskini umaskini unaokusumbua .“Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally.
Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.
utampa heart attack ataliwa hela na atafungwa! we mshawishi kitakachomkuta hehe!Tumia fursa hii upige hela kwa khanjbay, bet Yanga atashida na utapiga hela sio ya kitoto, na utaachana na umaskini umaskini unaokusumbua .
Baada ya kupiga hela hutamnukuu tena mzee wa kispika 😂😂
Naona kuna kitu unakitafuta wewe punga zeze.Tumia fursa hii upige hela kwa khanjbay, bet Yanga atashida na utapiga hela sio ya kitoto, na utaachana na umaskini umaskini unaokusumbua .
Baada ya kupiga hela hutamnukuu tena mzee wa kispika 😂😂
Wewe hapa umefata nini?Watu wrngine ni kuandika pumba tu.
Unalala unaamka unawaza simba na Yanga mzee.
UMEKOSA KAZI!!!?
Wewe naona period yako imekataa kukataWatu wrngine ni kuandika pumba tu.
Unalala unaamka unawaza simba na Yanga mzee.
UMEKOSA KAZI!!!?
Mtu una uhakika wa kushinda game ya derby (kwa mujibu wako), halafu mtu anakushauri uweke stake kubwa upande wa Yanga halafu unamtukana aliyekushauri!Naona kuna kitu unakitafuta wewe punga zeze.
Zingatia ushauri utatoboa na utaacha kisimanga hao waliokuzidi akili na maokoto.Naona kuna kitu unakitafuta wewe punga zeze.
Mkuu hii mechi amphibians wanatoboa Ila cha ajabu fans wanasita kutumia fursa yao ya kupiga hela za khanjbay.utampa heart attack ataliwa hela na atafungwa! we mshawishi kitakachomkuta hehe!
Yatapita,yana mwisho“Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally.
Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.
Hee mbona unamtukana? Kwahyo hamjiamini...nyie vyuraNaona kuna kitu unakitafuta wewe punga zeze.