Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
---
Akihojiwa na Mwanahabai Meneja wa Mawasiliano wa Simba ameoneana akijinadi kuhusu usajili wao watakaoufanya msimu huu.
Akielezea kwa ufupi hoja hiyo Ahmedy Ally anasema:
Bado si tunaagana kwanza, tutakapoanza kukaribishana ndiyo ntakwambia sasa huyu anayekuja anakuja kufanya kitimbi gani huyu anayekuja ana balaa gani. Kuna mashinde zinakuja hatari, kuna mchezaji wetu mmoja anakimbia kama treni za SGR, utamuona wewe vuta subira
Credit - HabariMtandaoni