Hahaaa mnaleta machine au wachezaji? Halafu mchezaji kuleta vitimbi ni mchezaji kweli huyo?
Mwingine anakimbia kama SGR! Hizo zama za Said Maulidi kibelenge za anakwenda...anakwenda ...anakwenda zilishapita. Sasa hivi no modern football. Tunacheza kwa mfumo. Tunakaba kwa mfumo. Angalieni usajili wenu