Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Meneja wa habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika
"Pamoja na kushinda dhidi ya Tabora United lakini ukweli ni kuwa tunahitaji kuwapa muda zaidi wachezaji wetu waendelee kutafuta ubora wao
Tumesajili Wachezaji bora sana ambao wamefanya makubwa walikotoka
Katika hao wapo walioanzia juu moja kwa moja na wapo walioanzia chini iko hivyo duniani kote hasa mchezaji anapotoka timu ndogo kwenda kubwa au ligi ndogo kwenda kubwa au abapoenda kwenye timu yenye presha kubwa kama yetu
Ni jukumu letu kuwavumilia kuwatia moyo kusimama nao nyakati zote ili warejeshe kujiamini na kuupata ubora wao
Aina ya wachezaji tuliokua nao nusu yao wakiupata ubora wao basi msimu huu utakuwa mzuri kwetu Insha allah".
NB: Naona Kispika kashaona hapo hawana timu kwa wachezaji waliosajili kaamua kuwa mpole na kukiri kuwa wachezaji wametoka ligi mdogo na dhaifu pia hawana uzoefu wa mikikimikiki za ligi ya kiume kama ligi yetu.