LGE2024 Ahmed Ally: Ukiamka asubuhi nenda kituoni piga kura kisha elekea uwanjani

LGE2024 Ahmed Ally: Ukiamka asubuhi nenda kituoni piga kura kisha elekea uwanjani

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Semaji la CAF, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa Simba kupiga kura kabla ya kwenda uwanjani kushuhudia mechi kali ya hatua ya makundi dhidi ya F.C. Bravos do Maquis hapo kesho tarehe 27 Novemba ambayo ndiyo siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
 
Waliojisajili kupiga kura ni wachache sana

Watu hawaoni haja ya kupiga kura kwasababu kila kitu kipo wazi, ccm itashinda kwa asilimia 99 kama ilivyokuwa mwaka 2020, kura zinapitishwa na wanaozihesabu si vinginevyo
 
Back
Top Bottom