Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kapige kura ya hapana 😏Vipi kama huna mgombea wa kumpigia kura??
Nani atakuwa wakala wa kuhesabiwa kura za hapana kituoni?Kapige kura ya hapana 😏
Wewe piga kura tu na uwe na imani na serikali yakoNani atakuwa wakala wa kuhesabiwa kura za hapana kituoni?
Unatangulia uwanjani mkuuVipi kama huna mgombea wa kumpigia kura??
Hakuna Serikali kuna wahuni tuWewe piga kura tu na uwe na imani na serikali yako
Kaa utazame sebleni kwako au sehemu yoyote ya uipendayoKama mtu haishi dar ataenda uwanja gani?