HatucheziKama arajiga hataki bs atachezesha TATU MALOGO kikubwa mbungi ipigwe..
Mkuu, tumalizane nao tu hawa jamaa kelele ziisheHatuchezi
Ni kwamba ma refaa wameona wenzao, wanakula bila kunawa, wao wakifanyia hivyo wanafungiwa, Haki ipo wapiAhmed Arajiga na set nzima ya waamuzi wametuma barua Kwa Bodi ya ligi kuwa hawako tayari kuchezesha Derby hiyo hadi Bodi ya ligi itakapoweka sawa mgogoro Yao na timu zinazoshiriki hiyo derby, maana ni wazi Yanga ameweka msimamo wao wazi kuwa hawachezi
Mwamuzi kama Arajiga amejitengezea CV kubwa kimataifa, hivo hayuko tayari kujichafua Kwa mpango wa kihuni uliopangwa na TFF, Bodi ya ligi pamoja na 5imba
Moto unawaka
Ahmed Arajiga na set nzima ya waamuzi wametuma barua Kwa Bodi ya ligi kuwa hawako tayari kuchezesha Derby hiyo hadi Bodi ya ligi itakapoweka sawa mgogoro Yao na timu zinazoshiriki hiyo derby, maana ni wazi Yanga ameweka msimamo wao wazi kuwa hawachezi
Unanishawish kukuelewa ndugu yangu lakin hawa jamaa wana mdomo sana tungewatibu tu..Muda utafika tutawafunga, Kwa Sasa kampeni ni kusafisha pale TFF baadaye tutakuja kuwafunga Simba katika tarehe ambayo tutapanga sisi Yanga
[emoji1]Ni kwamba ma refaa wameona wenzao, wanakula bila kunawa, wao wakifanyia hivyo wanafungiwa, Haki ipo wapi
[emoji1]Hakuna Mnyambo mwenye akili .
Naunga mkono hojaKama arajiga hataki bs atachezesha TATU MALOGO kikubwa mbungi ipigwe..