Ahmed Madobe is re-elected. Kenya wins

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kwa muda sasa Kenya imekuwa na lengo la kutengeneza bufferzone inayoitwa Jubbaland. Hio buffer zone ni muhimu kwa usalama wa KE. Hongera Madobe sasa njoo tuendelee kucharaza shabab

Jubaland regional leader Ahmed Mohamed Islam known as “Ahmed Madobe” wins re-election in a regional parliamentary vote.

Ahmed Madobe was declared winner in 1st round after receiving 56 votes, more than two-third of the 74 MPs who voted; Anab Mohamed Dahir got 17 votes. pic.twitter.com/Dlwj4Mx49b
— Rashid Bayow (@BayowRashid) August 22, 2019

ha ha you cannot defeat Kenyans in elections

[emoji23][emoji23] Somalia Sasa itapata tabu kwa ile boundary dispute.

Yani muinyang'anye Somalia kipisi chake hivihivi, nitawaona wasomali mdebwedo sana. And why do this, karma isijewatokea kukawa na mombasa republic

Hili eneo sasa ni buffer zone, ila hata Wakenya wenye asili ya Kisomali wanapenda iwe hivi ili kukaa mbali na yale mazombi ya akina bibi Faizafoxy
Infact Jana kulikuwa na celebrations Garrisa na Eastliegh

Aisee Afrika ni kubwa sana kuna Jubaland? Duh, nilikuwa sijui sasa nimeelewa kwa nini TZ tuko sadc, huko juu ni mbali sana na shida tupu.

Aisee Afrika ni kubwa sana kuna Jubaland? Duh, nilikuwa sijui sasa nimeelewa kwa nini TZ tuko sadc, huko juu ni mbali sana na shida tupu.

Hiyo ni nchi iliyotengenezwa na Kenya, bwana madobe ni Raisi aliyewekwa na Kenya kimkakati, yaani jubaland ni ardhi ya somalia iliyochukuliwa na kenya

Rais madobe kashinda lakini ushindi wanasherehekea wakenya wote

Aisee Afrika ni kubwa sana kuna Jubaland? Duh, nilikuwa sijui sasa nimeelewa kwa nini TZ tuko sadc, huko juu ni mbali sana na shida tupu.

SADC moja hiyo inayowafanyia dharau hadi kukamata mindege yenu, mtajikomba komba huko lakini wanawaona ovyoo tu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…