njalau
Member
- Jan 18, 2014
- 62
- 12
Katika hali ya kushangaza na isiyotarajiwa,mwandishi mbobevu wa historia ahmed rajabu ameshindwa kutoa matin yeyote ambayo inatoa ushahidi wa ye kukutana na Abdallah K.Hanga mpishi wa mapinduzi ya zanzibar.
Na hii inatokana na andiko lake katika gazeti la raia mwema la wiki iliyopita ambalo alikosoa kitabu cha "kwaheri ukoloni kwa heri uhuru " kwa dhana kwamba kukumbuka na kusahau kumeathiri utafiti huo na huku akizipa nguvu taarifa za maandishi kma shajara kwamba ndio source pekee ya kuaminika ya uandishi wa historia pia inaonekana msimamo wa kisiasa wa mwandishi(Ghassany ) ndio umetengeneza kitabu hicho,
Kitu ambacho Ghassany alijibu andiko hilo na kumtaka Ahmed rajabu kuonesha shajara ya kikao chao na Hanga na ilitarajiwa leo kupitia raia mwema angetoa ushahidi huo ila haijawa hivyo kitu ambacho wafuatiliaji wa mambo wametafsiri kwamba amechemka.