Chenji aloweka weka kwenye harambee unadhani ndogo au kwa sababu haikusemwa?Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.
Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Gabriel Makala alisema CCM imemteua Shabiby kushindana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.
Katika kura za maoni mwaka huu, mheshimiwa Shabiby alishinda kwa kupata kura nyingi.
Itakumbukwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mheshimiwa Shabiby alikosa mpinzani kwenye jimbo hilo na hivyo alipita bila kupingwa.View attachment 3450644
Nyie ndiyo manamba mlioifanya nchi ifike hapa sasa....Anyway mabasi yake ni Bora sana kwa Hilo hongera kwake
Uswahili umezidi kwenye magari yake ,saa nane usiku unakuta gari ya mkoani wamefumgulia mziki /video za kipuuzi ,yaani hakuna kula usiku kucha .SHAMEAliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.
Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Gabriel Makala alisema CCM imemteua Shabiby kushindana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.
Katika kura za maoni mwaka huu, mheshimiwa Shabiby alishinda kwa kupata kura nyingi.
Itakumbukwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mheshimiwa Shabiby alikosa mpinzani kwenye jimbo hilo na hivyo alipita bila kupingwa.View attachment 3450644
Hawa ponjolo wenda ndo hutuariba nchi.Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.
Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Gabriel Makala alisema CCM imemteua Shabiby kushindana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.
Katika kura za maoni mwaka huu, mheshimiwa Shabiby alishinda kwa kupata kura nyingi.
Itakumbukwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mheshimiwa Shabiby alikosa mpinzani kwenye jimbo hilo na hivyo alipita bila kupingwa.View attachment 3450644
Yutong D14 🔥Anyway mabasi yake ni Bora sana kwa Hilo hongera kwake