Ahmedy Ally tengua kauli yako uliyosema kuwa "balleke kawafunga sana akina yanga kwa magoli ya tikitaka" kwanj huo ni uongo.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kupitia Azam tv tar 14/4, umeonekana kwenye camera ukitaja kikosi au silaha zako kwa uoga ukiwa huna amani kabisa kwa kile ulichokua unakizungumza.

Ulitaja silaha zako ukasema kuwa unaziamini sana ambazo ni tegemezi na una amini yanga atakufa, silaha ulizozitaja ni Robertinho, saidoo ntibazonkiza na Jean baleke.

Ulisisitiza kuwa Jean baleke kawafunga sana akina yanga magoli ya tikitaka, kutokana na kauli yako hiyo ya kuwadanganya wanasimba wenzio ni dhahiri kuwa hutambui /huna statistics kuwa Jean balleke hajawahi kuifunga yanga Bali aliifunga Simba tar 19/9/2021 kwenye uwanja wa mkapa kipa akiwa aishi manula.

Ahmedy Ally Kama huna statistics /research kaa kimya siyo kuja kuwadanganya mashabiki wenu mbele ya camera, na kwa taarifa yako Jean baleke hatoweza kuifunda yanga hata goli la penati.
 
Hivi huwa mnafikiri hata cha kuandika au nikujiandikia tu. Unamshambulia Ahmedy kuwa kadanganya halafu pia Wewe unaandika vitu ambayo shabiki wa mpira anaejitambua hawezi kuandika. Eti Baleke ' hatoweza kuifunga yanga' , ni shabiki maandazi Tu ndio anaweza kuandika hivi.
 
Tulia wewe tusipangiane chakuandika hicho alichokisema huyo mbana pua mbona hujahoji
 
Kupitia Azam tv tar 14/4, umeonekana kwenye camera ukitaja kikosi au silaha zako kwa uoga ukiwa huna amani kabisa kwa kile ulichokua unakizungumza.

Ulitaja silaha zako ukasema kuwa unaziamini sana ambazo ni tegemezi na una amini yanga atakufa, silaha ulizozitaja ni Robertinho, saidoo ntibazonkiza na Jean baleke.

Ulisisitiza kuwa Jean baleke kawafunga sana akina yanga magoli ya tikitaka, kutokana na kauli yako hiyo ya kuwadanganya wanasimba wenzio ni dhahiri kuwa hutambui /huna statistics kuwa Jean balleke hajawahi kuifunga yanga Bali aliifunga Simba tar 19/9/2021 kwenye uwanja wa mkapa kipa akiwa aishi manula.

Ahmedy Ally Kama huna statistics /research kaa kimya siyo kuja kuwadanganya mashabiki wenu mbele ya camera, na kwa taarifa yako Jean baleke hatoweza kuifunda yanga hata goli la penati.
Unateseka?
 
Rage ajengewe sanamu
JamiiForums-2113514813.jpg
 
Back
Top Bottom