Ahmedy Arajiga Refa wa kimkakati kuibeba Yanga na kuonea Simba

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Huyu Arajiga ni refa wa kimkakati anaotumiwa na TFF iliyowekwa kiganjani na Yanga, mechi zote za Yanga tangu mwaka jana ameibeba Yanga kwa kufanya maamuzi ya hovyo,mechi nyingi za Simba ameionea Simba,..Ni refa wa kimkakati anayetumiwa na TFF na Yanga ili njia ya Yanga iwe rahisi kupata ubingwa.

Akichezesha mechi ya Yanga lazima afanye maamuzi ya kuibeba Yanga na kuonea timu zingine, vile vile timu yoyote ikicheza na Simba lazima awakandamize Simba kwa maamuzi ya utata ili kuivuta Simba nyuma.

Inashangaza huyu mwanachama wa Yanga kuchezesha mechi za ligi kuu.
 
Unaongea kinyumenyume mkuu huyo Arajiga ni Simba lia lia..

Anyways Arajiga ni Orthodox Referee. Yeye ana fanya maamuzi kwa kufuata sheria ilivyo andikwa. Kama ni penati anatoa penati kweli hata kama dakika ya 93 zimebaki sekunde kumi. Kama ni faulo ni faulo. Kama ni kadi nyekundu ni kadi nyekundu...

Arajiga ni mzuri sana kama.haki ikiwa upande wako lakini ni mbaya sana kama haki haipo upande wako..

Arajiga ni kama mzungu yani hanaga uswahili Swahili wala kupeta.
 
Asa anaipendelea yanga vipi mbona kanyooka kadi kwa kipa mazima katenga faulo na goli juu tupunguze kulia Lia hizi changamoto za marefa ni kwa wote
 
Huyu Arajiga ni refa wa kimkakati anaotumiwa na TFF iliyowekwa kiganjani na Yanga, mechi zote za Yanga tangu mwaka jana ameibeba Yanga kwa kufanya maamuzi ya hovyo,mechi nyingi za Simba ameionea Simba,..Ni refa wa kimkakati anayetumiwa na TFF na Yanga ili njia ya Yanga iwe rahisi kupata ubingwa.

Akichezesha mechi ya Yanga lazima afanye maamuzi ya kuibeba Yanga na kuonea timu zingine, vile vile timu yoyote ikicheza na Simba lazima awakandamize Simba kwa maamuzi ya utata ili kuivuta Simba nyuma.

Inashangaza huyu mwanachama wa Yanga kuchezesha mechi za ligi kuu.
kila refa ni mwanachama wa yanga?
 
Basi zote zilizobaki za Simba na Yanga atachezesha Ahmed Ally au Try Again. Nyie vijana wa Rage Bwana. Rage ajengewe sanamu.
 
Waamuzi wa mechi zijazo za Yanga...!!!

1. Mwamuzi wa Kati - Ahmed Ally
2. Line one - Murtaza Mangungu
3. Line two - Abdallah Tryagain
4. Fourth officiall - Mohamed Dewji
5. Khamisaa wa mchezo - Waandishi wote wa habari za MAKOLO

Hapo vipi kutakuwa na Malalamiko tena ya waamuzi...???[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Unaongea kinyumenyume mkuu huyo Arajiga ni Simba lia lia..

Anyways Arajiga ni Orthodox Referee. Yeye ana fanya maamuzi kwa kufuata sheria ilivyo andikwa. Kama ni penati anatoa penati kweli hata kama dakika ya 93 zimebaki sekunde kumi. Kama ni faulo ni faulo. Kama ni kadi nyekundu ni kadi nyekundu...

Arajiga ni mzuri sana kama.haki ikiwa upande wako lakini ni mbaya sana kama haki haipo upande wako..

Arajiga ni kama mzungu yani hanaga uswahili Swahili wala kupeta.
Basi kama vipi mechi zote za ligi kuu zichezeshwe na mwamuzi mmoja tu; Tatu Malogo, halafu tuone kama ataweza.
 
Timu ima malalamiko kila siku kama mtoto wa jambo🚮
 
Nimetazama mechi husika. Sijaona changamoto yoyote ya waamuzi
Huu upuuzi wa tuhuma za jumla jumla na kuzushia watu tuhuma za uongo wanazo mashabiki wa Simba na Yanga. Ukimuuliza tukio gani Jana Arajiga kaharibu anasema eti aliweka penati ajabadili maamuzi, ilikuwa ndani ya penati hapana Ila alishaweka penati. Kanuni gani inamzuia hajui.
 
Unaongea kinyumenyume mkuu huyo Arajiga ni Simba lia lia..

Anyways Arajiga ni Orthodox Referee. Yeye ana fanya maamuzi kwa kufuata sheria ilivyo andikwa. Kama ni penati anatoa penati kweli hata kama dakika ya 93 zimebaki sekunde kumi. Kama ni faulo ni faulo. Kama ni kadi nyekundu ni kadi nyekundu...

Arajiga ni mzuri sana kama.haki ikiwa upande wako lakini ni mbaya sana kama haki haipo upande wako..

Arajiga ni kama mzungu yani hanaga uswahili Swahili wala kupeta.
Umemaliza mkuu,Arajiga ni Simba kwahiyo TFF inampanga ikiamini kabisa Yanga hatoonja ata penalty ya Mchongo katika game yake....Maana Anajitahidi sana kipindi hiki tangu afungiwe miezi miwili akili imemkaa sawa
 
Back
Top Bottom