kila refa ni mwanachama wa yanga?Huyu Arajiga ni refa wa kimkakati anaotumiwa na TFF iliyowekwa kiganjani na Yanga, mechi zote za Yanga tangu mwaka jana ameibeba Yanga kwa kufanya maamuzi ya hovyo,mechi nyingi za Simba ameionea Simba,..Ni refa wa kimkakati anayetumiwa na TFF na Yanga ili njia ya Yanga iwe rahisi kupata ubingwa.
Akichezesha mechi ya Yanga lazima afanye maamuzi ya kuibeba Yanga na kuonea timu zingine, vile vile timu yoyote ikicheza na Simba lazima awakandamize Simba kwa maamuzi ya utata ili kuivuta Simba nyuma.
Inashangaza huyu mwanachama wa Yanga kuchezesha mechi za ligi kuu.
Basi zote zilizobaki za Simba na Yanga atachezesha Ahmed Ally au Try Again. Nyie vijana wa Rage Bwana. Rage ajengewe sanamu.Huyu Arajiga ni refa wa kimkakati anaotumiwa na TFF iliyowekwa kiganjani na Yanga, mechi zote za Yanga tangu mwaka jana ameibeba Yanga kwa kufanya maamuzi ya hovyo,mechi nyingi za Simba ameionea Simba,..Ni refa wa kimkakati anayetumiwa na TFF na Yanga ili njia ya Yanga iwe rahisi kupata ubingwa.
Akichezesha mechi ya Yanga lazima afanye maamuzi ya kuibeba Yanga na kuonea timu zingine, vile vile timu yoyote ikicheza na Simba lazima awakandamize Simba kwa maamuzi ya utata ili kuivuta Simba nyuma.
Inashangaza huyu mwanachama wa Yanga kuchezesha mechi za ligi kuu.
Wenye akili ni wawili hamwezi kuelewaKumbe watanzania umbumbumbu ni jadi yenu...mara Kayoko ...marq Arajiga....dah...
Basi kama vipi mechi zote za ligi kuu zichezeshwe na mwamuzi mmoja tu; Tatu Malogo, halafu tuone kama ataweza.Unaongea kinyumenyume mkuu huyo Arajiga ni Simba lia lia..
Anyways Arajiga ni Orthodox Referee. Yeye ana fanya maamuzi kwa kufuata sheria ilivyo andikwa. Kama ni penati anatoa penati kweli hata kama dakika ya 93 zimebaki sekunde kumi. Kama ni faulo ni faulo. Kama ni kadi nyekundu ni kadi nyekundu...
Arajiga ni mzuri sana kama.haki ikiwa upande wako lakini ni mbaya sana kama haki haipo upande wako..
Arajiga ni kama mzungu yani hanaga uswahili Swahili wala kupeta.
Huu upuuzi wa tuhuma za jumla jumla na kuzushia watu tuhuma za uongo wanazo mashabiki wa Simba na Yanga. Ukimuuliza tukio gani Jana Arajiga kaharibu anasema eti aliweka penati ajabadili maamuzi, ilikuwa ndani ya penati hapana Ila alishaweka penati. Kanuni gani inamzuia hajui.Nimetazama mechi husika. Sijaona changamoto yoyote ya waamuzi
Umemaliza mkuu,Arajiga ni Simba kwahiyo TFF inampanga ikiamini kabisa Yanga hatoonja ata penalty ya Mchongo katika game yake....Maana Anajitahidi sana kipindi hiki tangu afungiwe miezi miwili akili imemkaa sawaUnaongea kinyumenyume mkuu huyo Arajiga ni Simba lia lia..