BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Ahuofe 🇬🇭 Aliyejipatia Umaarufu Mitandaoni (Tiktok & IG) Kama Tupac Wa Ghana Amefariki Dunia Jana Jumatano Machi 29, 2023 Huko Kumasi Nchini Ghana. Taarifa Za Kifo Chake Zimethibitisha Na Rapa Kutoka Ghana #JayBahd
Sababu Ya Kifo Chake Bado Haijawekwa Wazi Lakini Kwa Mujibu Wa Ripoti Mbalimbali Tupac Wa Ghana (Ahuofe) Amefariki baada Ya Kuugua Ugonjwa Ambao Haukujulikana Kwa Kipindi Kifupi.