Hakukubalika!? Wapi? maana kwenye social media alienda sanaHuyu jamaa haja-trend hata mwaka,dizain alikuwa teja wadau walijaribu sana kumrusha ila hakukubalika sana
Daah maisha mafupi sana wale mademu waliokuwa wanamshika shika ndo basi tena 😳😳😭😭 duuh tuutafute ufalme wa Mungu siku yaja
Sawasawa mimi kwa video zake nilizokutana nazo nilikuwa nikisoma reply za mashabiki naona kama hawamuelewi.Hakukubalika!? Wapi? maana kwenye social media alienda sana