LAPTOP2016
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 728
- 2,140
Mkuu ni vizuri ufuatilie mawasiliano ila semi huwa linabeba tani 3o ambayo ni mifuko 600 mkuuHivi jamani cement ya Dangote kwa Kahama inapatikana kwa bei gani? Anaye jua tafadhali. Na kama nataka mifuko mingi mfano 700-800 bags wanaweza kuniletea? Eneo ni kama Km 150 Kutoka Kahama.
Yeah gharama za usafiri ndizo ishu mkuuKanda ya ziwa hali bado tete.
Kahama 16,000.
Usafiri wa uhakika wa reli ni muhimu sana kwenye kupunguza huu utofauti wa bei kati ya Kanda moja na nyingine.
Gharama za Usafirishaji WA bidhaa kwa malori ni soo.
Mbona Dangote ukitoa Oda anakuletea na maloli yake hebu jaribuni kumtafuta.Yeah gharama za usafiri ndizo ishu mkuu
Zinaleta tofauti ya hizi bei
To a mawasiliano ya kiwanda cha dangote mtwara mkuuMbona Dangote ukitoa Oda anakuletea na maloli yake hebu jaribuni kumtafuta.
Na itafika tu... wakati huo kuipata hiyo 4,500/= ni sawa na unavyoitafuta 20,000/= ya wakati huu.Ikifika 4500 hata mm nitajenga
Barida tu, kivyovyote vileNa itafika tu... wakati huo kuipata hiyo 4,500/= ni sawa na unavyoitafuta 20,000/= ya wakati huu.
JK alijua kutafuta wawekezaji. Kama angeendelea vijumba vya udongo vyote kijijini vingeisha.
Boss acha kuhujumu uchumi wa nchi yako wakati unalipwa mshahara.[emoji12] [emoji12]Ikifika 4500 hata mm nitajenga