Ahsante Dangote na serikali, bei ya cement Morogoro 9,800

Kipindi hiki cha Magu ndio kipindi cha kujenga maana kila kitu kimeshuka bei
 
Cement ikifika 5000 mfuko Wakuu mni-tag[emoji31][emoji31][emoji125]
 
Mbona uku kwetu arusha ni 10500 dangote 11000 kwa simba cement 9500 bamburi cement
 
Alitaka kuuza 7000 serikali ikamkataza, bado unaishukuru serikali??? [emoji32]
 
Reactions: 247
sengerema ni15000/= kw lejaleja twiga extra
 
Kipindi hiki cha Magu ndio kipindi cha kujenga maana kila kitu kimeshuka bei
shida watakao jenga waliochuma nying kipind cha jk maana mishaara hewa, watumish hewa doo lakin sasa kwa kuishi kwenye mstali wa mshaara ni so...
 
Chadema walituambia si halali kununua saruji kwa zaidi ya sh. 4000 kwa 50kg

Naona bado mpo gizani!!!! Mnaibiwa huku mkishangilia.
 
Mtusaidie hata huku kwetu mpakani Missenyi yaani mkoani Kagera toward Uganda, mfuko wa Cement nimenunua 16500/= huku nondo mm 12 nikiinunua elfu 17000/= la kustaajabisha, ni kilometa 16 kutoka nilipo hadi kilipo kiwanda cha kuzalisha sukar yaani KAGERA SUGAR, Na ni kilometer 1 kutoka kwenye shamba langu hadi kuanza mashamba ya miwa ya kiwanda hicho, ila sukari kilo moja ni elf 3000/= samahani wajuvi hebu tusaidie hili limekaaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…