"Tee Bag" Kuhusu suala lako tumenakili hapa juu, kwa uhakika, sisi si watalaam la suala ya mayaya wanaoletwa huku Uarabuni - Dubai - United Arab Emirates. Lakini tuna uhakika kabisa kwamba hakuna jambo hila, na UAE ipo mstari wa mbele kutetea haki ya wafanya kazi.