Ahsante linah na Linex, lakini..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Binafsi uwa ni mpenzi wa hiki kituo cha radio (clouds FM), na uwa nafuatilia sana vipindi vyake kuanzia power breakfast hadi ala za roho. Hivi karibuni nimekuwa nikisikia sijui niite tangazo ama nini, ni program mpya nadhani walioianzisha clouds inaitwa sambaza amani na upendo, uwa nasikia Mara nyingi linah au linex wakiimba , sometimes wanaimba hadi kiluga, binafsi uwa nafurahi sana nikisikia huu wimbo japokuwa hauimbi hadi mwisho ila natamani sana niwe nausikia Mara kwa Mara, ukiachilia mbali message nzuri ya huu wimbo uwa nazimia sana sauti ya lina na Linex kwenye hili Tangazo, napenda sana kusikia sauti Zao , na ni kweli kabisa zinaamasisha amani na upendo, wameimba kwenye hali ya utulivu na kumaanisha wanachokiimba, big up for that,wanaimba nadhani "Hello hello Tanzania, hello hello Mapenzi ya kweli", it sounds Good , swali je? clouds wenyewe wamemaanisha hicho walichowatuma kuimba lina na linex au? Ni kweli wana nia ya dhati ya kusambaza amani na upendo?
 
sijawahi kusikiliza clouds mda mrefu but Linex huwa namkubali sana anapochanganyia kilugha inasound poa
 
Clouds niwabunifu lakini ila si mpenzi wa vipindi vyao hata kidogoz kwa mtazamo wangu havina maudhui mazuri..
 
"Hello hello Tanzania, hello hello Mapenzi ya kweli", it sounds Good , swali je? clouds wenyewe wamemaanisha hicho walichowatuma kuimba lina na linex au? Ni kweli wana nia ya dhati ya kusambaza amani na upendo?

the logic behind it ni kwamba Tanzania iendelee kuwepo..hakuna cha serikali tatu hapo... wameshaona fursa hao..si bure.
 
Binafsi naona tangazo ni zuri halichoshi kusikiliza
 
Hebu leo sikilizeni njia panda kipindi kinaanza saa nane! Mtu aliekua anajishughulisha na ujangili anafunguka!!
 
Ujumbe mzuri tangazo zuri ila ukweli Clouds ni wanafiki na hawamaanishi wanachokiimba.
 
clouds wanataka fursa hao kutetea serikali mbili wakati tunataka Tanganyika yetu kiukweli siwaamini wanataka fursa sio kingne
 
Ujumbe mzuri tangazo zuri ila ukweli Clouds ni wanafiki na hawamaanishi wanachokiimba.

serikali mbili ndo mpango wao. they have already seen how they will earn from that promotion.they have played their cards. time will tell if they have played them well or not.
 
kuwa mzalendo sambaza upendo....sidhani kama msemo huo una mahusiano yoyote na serikali mbili au tatu, mana vyovyote itakavyokua serikal 2 au 3 ni lazima aman na upendo vidumishe na kuenziwa....big up clouds fm the peoples station, super brand radio kwa takriban miaka mitatu mfululizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…