AHSANTE MUNGU FOUNDATION COURSE NIMEPASUA TUKUTANE UDSM

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
237
Reaction score
165
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu

Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine

TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
 
Foundation course inakuwaje hii
 
Huwezi kusoma shahada chuo kingine zaid ya OUT.
Acheni kukariri mambo! Wana ruhusiwa omba chuo chochote kile baada ya kufaulu iyo foundation.

Ata open bado ni chuo kizuri.
Tena hakikubani: unasoma uku unafanya mambo yako mengine.
 
Hiyo foundation course unasomea wapi,tujuzane
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu

Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine

TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
 
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu

Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine

TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
Huwezi pata medicine kwa foundation sahau kabisa nenda kaomba kozi za general science
 
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu

Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine

TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
Ualimu mhimu mkuu
Bt kwa huu mteru kapambane coz disco zipo mkuu
 
Back
Top Bottom