AHSANTE MUNGU FOUNDATION COURSE NIMEPASUA TUKUTANE UDSM

Open uiversity of Tanzania(OUT) Chuo kikuu huria ndicho kilicho pewa mamlaka ya kutoa foundation
 
Mbona munapenda uzushi wa kijinga ukweli ni kwamba unaweza kuomba chuo chochote hapa Tanzania kama utakuwa umesoma foundation course na ukafaulu vizuri pale open. Musiwe munatoa majibu ambapo kitu hukijui
Huwezi kusoma shahada chuo kingine zaid ya OUT.
 
Huwezi pata medicine kwa foundation sahau kabisa nenda kaomba kozi za general science
Pia nimepata shida kidogo.. Medicine upate kwa shot cut za foundation kweli? mara ya kwanza nilidhan foundation ya NBAA kumbe wataka kwenda kusomea uhai wetu? Hapana kasome General Science huko.. Utatuuwa wewe medicine hapana
 
Pia nimepata shida kidogo.. Medicine upate kwa shot cut za foundation kweli? mara ya kwanza nilidhan foundation ya NBAA kumbe wataka kwenda kusomea uhai wetu? Hapana kasome General Science huko.. Utatuuwa wewe medicine hapana
Hahahaha
 
Naona TCU wamekata mzizi wa FITINA walio soma FOUNDATION COURES wote mtabaki OPEN UNIVERSITY Ingawaje mwongozo ulikuwa unasema utasoma chuo chochote
 

Usome mwongozo wa TCU kama una ndoto ya Medicine rudi tena Form six,foundation wote OUT hakuna cha UDOM wala MUHAS
 
Inaweza aminishwa hivyo kwamba unaweza kuomba chuo chochote lakini ninawasiwasi na perceptions za vyuo vingine dhidi ya hiyo foundation course ya OUT. Jaribu kuomba kwingine lakini OUT iweke first choice to be in safe side.
 
ELIMU YETU BANA HUWA NASHIDWA KUILEWA HUU MFUMO UKIMALIZA DIPLOMA UNASOMA FOUNDATION NDO UNAJIUNGA NA DEGREE NAUONA KAMA HAUPO FAIR
 
UDSM haaaaa watu na ufaulu wao wameachwa mwaka jana wew na hicho ki foundation chako tayari unajiona UDSM Haaa watu watakuja kulia hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…