Ahsante Mungu kwa OBAMA .B-JF

Ahsante Mungu kwa OBAMA .B-JF

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndugu zanguni kila kitu tukiomba tukumbuke na kushukuru ndipo mungu anaongeza mengine,wakati na kabla ya uchaguzi wengi waliandika na kuomba maombi mengi mungu achague chaguo sahihi la rais mtarajiwa wa marekani,na ndicho kilichofanyika hivyo leo hii,nimeona tumshukuru mungu kwa sala zetu nakuamini kila tuombacho jf tutafanikiwa mungu ibariki dunia
amen
 
Una wakika gani ni chaguo sahii? unanikumbusha Wachungaji wetu hapa walivyo twambia JK nichaguo la mungu
 
Sasa uku tunakokwenda mie yangu macho na masikio!!! Ata wiki haijaisha....
 
Nabashiri obama atakuwa zaidi ya muungwana kwa usanii.

Macinkus
 
Back
Top Bottom