Kijuche JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 418 Reaction score 36 Jul 1, 2011 #61 Hongera saaana man.
C chetuntu R I P Joined Jan 10, 2011 Posts 949 Reaction score 111 Jul 1, 2011 #62 Hongera mama, baba na mtoto. Me nakupa sala ya mtoto (angels east and west, north and south protect my child by the blood of Jesus Amen.)
Hongera mama, baba na mtoto. Me nakupa sala ya mtoto (angels east and west, north and south protect my child by the blood of Jesus Amen.)
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 568 Jul 1, 2011 #63 jojipoji said: salam wadau, ijumaa ya leo imekuwa ya furaha sana baada ya wife kujifungua salama mtoto wa kiume Click to expand... hongera kaka, mungu ni mwema mpe gwala wife.
jojipoji said: salam wadau, ijumaa ya leo imekuwa ya furaha sana baada ya wife kujifungua salama mtoto wa kiume Click to expand... hongera kaka, mungu ni mwema mpe gwala wife.
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Jul 1, 2011 #64 Dena Amsi said: Ha ha ha ha ha ha leo umeniwahi nilitaka kutapika haya haya Click to expand... mie watu kama hao si wapagi muda yaani katika maneno yote kichwani mwake ameona yale dio ya maana ... HATARI... Nakusalimu my dear
Dena Amsi said: Ha ha ha ha ha ha leo umeniwahi nilitaka kutapika haya haya Click to expand... mie watu kama hao si wapagi muda yaani katika maneno yote kichwani mwake ameona yale dio ya maana ... HATARI... Nakusalimu my dear
L ladywho Senior Member Joined Apr 28, 2011 Posts 107 Reaction score 49 Jul 4, 2011 #65 womanizer said: Matusi uliyotukana mi namwachia Mungu tu, maandiko yananiambia nisamehe saba mara sabini. Malaika wa Mungu wata-deal na wewe tu, we subiri adhabu tu! Click to expand... ur so pathetic!
womanizer said: Matusi uliyotukana mi namwachia Mungu tu, maandiko yananiambia nisamehe saba mara sabini. Malaika wa Mungu wata-deal na wewe tu, we subiri adhabu tu! Click to expand... ur so pathetic!