Ahsante Mungu

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
5,305
Reaction score
5,355
Namshukuru Mungu leo tar 9/5 nimetimiza miaka 33 kamili wengi wamepotea kabla hawajafika huku na walikua na ndoto nyingi,wote ambao tumefika huku tukiwa na afya njema tuungane kumshukuru Mungu .Pia furaha yangu kubwa nimetimiza kigezo anachokitaka inna morata kwani ndio ilikua kigezo pekee ninachomiss cha miaka 33 minimum kwa hiyo baada ya hii thread naenda pm nikiwa kifua mbele
 
Sasa unalingana na Yesu alipaa na miaka 33....je wewe umefanikisha kipi? Kufikisha tu bila impact sio chochote ata tahira mnyama unaweza kufikisha tuambie umefanyanini?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka mwenye thread alisema lazima awe na kucha zote hahahhahahaha hatari mana nilicheka nilipousoma
 
Sasa unalingana na Yesu alipaa na miaka 33....je wewe umefanikisha kipi? Kufikisha tu bila impact sio chochote ata tahira mnyama unaweza kufikisha tuambie umefanyanini?
nimefanya vingi sana mkuu,ingaa siwezi kujifananisha na yesu ila naamini mpaka yesu anaondoka alikua fundi seremala tu sidhani kama hata aliwahi kumiliki nyumba wala gari wala assets nyingine nyingine za thamani,naamini ukimfananisha na mimi kwa mafanikio ya kimaisha nitamuacha mbali sana ukiacha yale ya kiimani kama vile kufufua watu cjui kupaa mbinguni hayo yako nje ya uwezo wangu.niivyo tu mkuu
 
hongera lakin wewe kila mwaka unatimizaga miaka 33 tu yaani miaka imesimamia hapo .
 
hongera lakin wewe kila mwaka unatimizaga miaka 33 tu yaani miaka imesimamia hapo .
dah ebu weka bandiko lolote lililopita amblo nina miaka hii mkuu ili kuthibitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…