Ahsante Rich Mavoko (PACHA WANGU) kwa kuwanyamazisha MTAA..

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
,. Hongera ,,
ni ngoma kali...

Team zile mbili zinazopwayaya hapa zinapotea.

PACHA WANGU.- hongera.

Melody,.
Beat,.
Video,.
Bass..

Zile team mbili mnazokesha hapa kuleni kona.
 
,. Hongera ,,
ni ngoma kali...

Team zile mbili zinazopwayaya hapa zinapotea.

PACHA WANGU.- hongera.

Melody,.
Beat,.
Video,.
Bass..

Zile team mbili mnazokesha hapa kuleni kona.

Wimbo hapana, ila video ni kali sana
 
,. Hongera ,,
ni ngoma kali...

Team zile mbili zinazopwayaya hapa zinapotea.

PACHA WANGU.- hongera.

Melody,.
Beat,.
Video,.
Bass..

Zile team mbili mnazokesha hapa kuleni kona.

Kawimbo kilichokaa onchart wiki mbili unataka uifananishe na mwana !! Au mdogo mdogo ?

Wimbo umezidiwa ukubwa na video
 
mi sijawahi usikia jamani huo wimbo niwekeeni link bas tafadhali maana single kali utaskia kwa madereva bodaboda na bajaj na ndo inavuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…