dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,172
- 3,082
Mimi ni mdau mzuri wa JF na nikiri kwamba JF imenipa faida nyingi sana. Leo ntaieleza Moja tu nayo nikujua thaman ya Elimu ya Madrasa
Wana JF sote nimashahidi kwamba ktk thread za kila siku zinazoletwa basi elimu hii itatajwa kwa uchache japo mara kumi, nakutajwa kwenyewe ni kwa njia ya NEGATIVE. Na sote twaelewa kwamba adui yako hawezi akaumwa kwa vinavyokupa hasara bali kwa vile vinavyokupa FAIDA
Ikumbukwe kwamba mfumo huu wa elimu ndio unaouweka uslamu kuwa dini yenye nguvu zaidi, na maadui weng zaid na hili ndilo linalofanyika hp JF kuwaondoa ktk Elimu hiyo.
Ikumbukwe kwamba Wajeruman walipoingia Tanganyika nakbla kuanzisha FORMAL EDUCATION waliwakuta babu zet tyr wanajua kusoma na kuandika hvy wakawatumia kama makaran wao. BIG UP SN ELMU YA MADRASA