Ahsante sana mama Ndalichako!

Ninachokijua mpaka umepata kuwa professor umepitia sehemu nyingi ,kama ni misamiati umekutana nayo mingi sana lakini pia lugha umeitumia sana katika kudefend hizo tafti zako ulizofanya.Kuongea kingereza cha aina hiyo kwa prff kama Ndalichako lazima tujiulize maswali mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana Mkuu hapa tz eti MTU akiongea kizungu sana ndo anaonekana elim ipo sana kumbe ni lugha tu ya kufikisha mawasiliano na sisi hatuitaji lugha zaidi tunaitaji content katika fan yake Leo wachina wanatufanyia miradi kibao na hawajui kiswahili hata kingereza bado kwao ni shida ila content zao ziko vizuri so hakuna sababu ya kumkebehi mtu et kwa sababu hawezi ongea kingereza hata mimi mwaka mmoja nasoma uganda mwanzo nilikua naogopa hata kufanya presentation nikijua kingereza changu kibovu mpaka siku moja prof alipokuja nisifia ndo nikapata confidence na niliendelea kuimprove taratibu
Kinachotoa shida kwanza ni mazingila kwamba lugha yetu ni kiswahili na kingereza tunakizungumza penye sababu mahalum na lugha yoyote ili ikae vizuri lazima uwe unaizungumza kila siku
 
Sasa hivi upo kidato cha ngapi?
 
Nini kiingezeza wewe, uliza products za Kibaha High School enzi za Mwalimu Msaki!!! The head Master. Prof. David Mfinanga, Prof. Joseph Mpagalile, Prof. David Nyange, Prof. Siza Tumbo nk. Mr Msaki hakuangalia lugha aliangalia flow ya material na manipulation ya mathematics. Peleka kiimgereza chako kwenye ngwini
HJK, whatever.
 
Ninavyo jua mimi rugha yoyote ile Kuna skills ya Aina Tatu

Kusoma
Kuandika
Na
Kuzungumza

Kwa elimu ya kawaida tuu huwez kuzungumza vizuri lugha ya kujifunza kama huitumiii Mala kwa mala hivyo basi

Kujua kuzungumza lugha furan haimaniishi kuwa ndio una ujuzi Sana..

Achina kibao Wana ujuzi Lakin hawaju kingeleza...

Ni Africa tuu mambo Haya yapo kwa kuwa tuu utumwa wa fikra bado upo ndani yetu....

Mimi sijuh kuongea kingeleza ila na furahia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiuliza wewe tu sio wengine kwa kua umepitia sijui shule zenu za kulishwa kama vifaranga lakini vipi content zipo au ndo ile ya kubebwa kisa lugha acha izo elimu ya bongo ni ngum hakuna prof tz kilaza labda kama wengine wanaalibiwa na siasa zenu uchwara but elim ya tz si ya kubeza we kaa na vingereza vyako wakati hata ukulele ukupewa hats daraja ujenge hata ratio ya kokoto hujui
 
Na wewe ni product ya kibaha?

Huna hata brain- hand coordination?

Angalia upuuzi Na michapio uliyotiririka.

Sifa mingi, ujinga mingi.

Kama ulisoma hapo kibaha, wewe ni kituko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Ndalichako mwenyewe unajaribu kupoza
 

Hahahah kwny kiingereza wote hao ni kifo cha mende tu wkt wametumia kiingereza kuanzia wakiwa form 1 mpk University(PH.d).
 

Wewe hata kiswahili tu hukielewi.

Rugha,Mala kwa mala,furan,kiingeleza,sijuh

Wewe ni KILAZA MKUBWA.
 
Kingereza kama huongei mara kwa mara hata uwe na PHD sita lazma utatoa maboko tu...
Kuandika na kuongea tofauti sana..
Mfano mie toka nitoke shule miaka 10 imepita sijaongea kingereza sa hapo unategenea nini ka sio maboko...

Ni sawa na mtu anaetoka kijijini umlete Dar mwanzon kiswahili huwa mdomo mzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania daraja la kwanza kabisa la upumbavu ni kuwa profesa. Kama profesa Lipumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidi kuongea ongea utajiondoa kwenye kundi la waoga na wanyonge wa kuongea kizungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala huu kila mtu akigonga yai linatoka vizaaa. Daaah sijui kwa nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahaha imebidi nicheke tu maana umejieleza vizuri jinsi is and was zinavyokupiga chenga kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nami nikumbushie ka kiingereza kangu niliko jifunza hukooo nyum
Hello ladies and gentlemen I would like to know if professor ndalichako she refuse to flow this language as she has experience because she performance in British universal
The question is how she is spending there to communicate this language the way she speaks ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…